Breaking News

Your Ad Spot

Mar 27, 2015

PALLA NA RUKIA WAMEREMETA BAADA YA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwandishi wa Habari wa Uhuru FM, Athumani Palla akiwa katika pozi la kimahaba na mke wake, Rukia Bakari baada ya kufunga ndoa jana, nyumbani kwa Bibi Harusi, Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Mke  mjasiriamali, na wakati Palla ni Mhehe aliyekulia Dar, Bi Harusi ni Mmwera kutoka Lindi ambaye pia amekulia Dar.
 Palla na mkewe akiwa na wapambe Ney na Sheila
 Pozi la kwanza
 Pozi la pili
Pozi la tatu la wapendanao hao

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages