Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda na mkewe Mama Salma Kikwete kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Marehemu Kepteni John Komba, aliyefariki dunia jana, nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba, jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda na mkewe, Mama Salma Kikwete kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana, nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba, jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais Kikwete, Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo walipokwenda na mumewe, Rais Kikwete kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya
CCM, Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana, nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba.
CCM, Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana, nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba.
Rais Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana, nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba.
Rais Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwafariji wasanii wa Tanzania One Theatre kufuatia kifo cha kiongozi wao, Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana, nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba, jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakipeana mkono na waombolezaji kwenye msiba huo. (PICHA ZOT E NA IKULU)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269