Mkurugenzi wa Idara ya Uhusiano wa Umma wa Star Media Tanzania, Zuhura Hanif (kushoto) akimkabidhi Kaimu Mkuu wa Idara ya Wagonjwa wa Dharura ya Muhimbili (EMD) Dk. Hendry Sawe
baadhi ya vifaa vitakavyotumika katika zoezi la uchangiaji wa damu
salama. Zoezi hilo lilifanyika ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka
mitano tangu kuanzishwa kwa idara hiyo katika eneo la soko la Karume
jijini Dar es Salaam ambapo kampuni hiyo ya matangazo ya luninga kwa
njia ya dijitali wakiwa ni moja ya wadhamini.

Mkurugenzi wa Idara ya Uhusiano wa Umma wa Star Media Tanzania, Zuhura Hanif (kushoto) akiteta jambo na Kaimu Mkuu wa Idara ya Wagonjwa wa Dharura ya Muhimbili (EMD) Dk. Hendry Sawe.
Baadhi
ya watu waliojitokeza kuchangia damu salama katika viwanja vya Karume
jijini Dar es Salaam wakiwa katika banda la kufanyiwa vipimo mbalimbli
ikiwemo presha ya damu, uzito na sukari mwilini. Zoezi hilo lilifanyika
ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka mitano tangu kuanzishwa kwa
idara hiyo katika eneo la soko la Karume jijini Dar es Salaam ambapo
kampuni ya StarTimes Tanzania wakiwa ni moja ya wadhamini wakuu.
Taswira ya eneo la kuchangia damu salama kwa ajili ya kusaidia Idara ya Wagonjwa wa Dharura ya Muhimbili katika eneo
la soko la Karume jijini Dar es Salaam. Zoezi hilo lilifanyika ikiwa ni
sehemu ya maadhimisho ya miaka mitano tangu kuanzishwa kwa idara hiyo
ambapo kampuni ya StarTimes Tanzania wakiwa ni moja ya wadhamini wakuu.
Msanii
wa miondoko ya Hip Hop, akiliwakilisha jiji la Mwanza, Kala Jeremiah
(mwenye fulana nyeusi) akiwa tayari kwenda kuchangia damu.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269