Breaking News

Your Ad Spot

Apr 14, 2015

RAIS KIKWETE AZINDUA KOZI MAALUMU YA MAADILI NA UONGOZI, AMSIMIKA MZEE MSEKWA KUWA MWENYEKITI WA KIBWETA CHA MWALIMU NYERERE

 Baadhi ya wanafunzi na wageni wakimpiga picha kiongozi wa bend  na  Msaii  mkongwe  Mrisho Mpotu alipokuwa akito burudani katika hafla hiyo.
 Rais Kikwete akisalimiana na  Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema  mara baada ya kuwasili katika Hafla hiyo ambapo alimwakilisha Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam 
 Rais Kikwete akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Phillip Mangula, alipowasili katika hafla hiyo.
 Rais Kikwete akisalimianana kamati ya maadalizi ya Hafla hiyo na pia niwafanyakazi





  Mkuu wa Chuo hicho Profesa Shadrak Mwakalila akisoma utangulizi wa chuoa hicho

 Baadhi ya wageni waalikwa na wanafunzi wa chuo hicho, wakiwa katika maadhimisho hayo.
 Rais Jakaya Kikwete, akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Nyerere kwenye Chuo cha Kumbukumbu ya Mwaliumu Nyerere, Kivukoni, Dar es Salaam jana.

   Rais Kikwete akimkabidhi Kitabu chenye Program maalumu ya Uongozi na Maadili ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere  Mwenyekiti wa Kibweta cha Mwalimu Nyerere, Spika mstaafu, Pius Msekwa
 Rais Kikwete, akimkabidhi kifimbo Mwenyekiti wa Kibweta cha Mwalimu Nyerere, Spika mstaafu, Pius Msekwa (kulia), wakati wa maadhimisho hayo.


 Rais Kikwete katika picha na Bodi ya Chuo hicho

 Rais Kikwete katika Picha ya pamoja na Mabalozi toka sehemu   Mbalimbali walioalikwa na Chuo hicho wakati wa Uzinduzi wa Program Maalum ya Uongozi na Maadili ya  chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere.



No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages