Breaking News

Your Ad Spot

Apr 22, 2015

VIONGOZI WA ACT-WAZALENDO WATINGA NYUMBANI KWA BABA WA TAIFA

 Mtoto wa Hayati baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Andrew Nyere, akiteta jambo na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na kuvaa kofia ya Chama cha ACT-Wazalendo wakati viongozi wa chama hicho walipofanya ziara kijijini Mwitongo Wilayani Butiama. (Picha na Said Powa)
Mtoto wa Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, Andrew Nyerere, akimkabidhi kofia ya CCM, Kiongozi wa Chama cha  ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na kuvaa kofia ya Chama cha ACT-Wazalendo wakati viongozi wa chama hicho walipofanya ziara kijijini Mwitongo Wilayani Butiama.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages