Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest
Mangu, mara baada ya kuwasili katika hafla ya uzinduzi wa Kituo cha
Mawasiliano ya Dharura cha Polisi, iliyofanyika katika viwanja vya Kituo
cha Kati cha Polisi,jijini Dar es salaam ambapo alikuwa mgeni rasmi
katika hafla hiyo. Katikati (mwenye tai) ni Waziri wa Mawasiliano,
Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa ambaye pia alihudhuria
hafla hiyo.kULIA NI Kamishna wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es salaam, Suleiman Kova,
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (kulia), akiteta jambo
na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Ernest Mangu, katika hafla ya
uzinduzi wa Kituo cha Mawasiliano ya Dharura cha Polisi iliyofanyika
katika viwanja vya Kituo cha Kati cha Polisi,jijini Dar es salaam.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe, akihutubia katika
hafla ya uzinduzi wa Kituo cha Mawasiliano ya Dharura cha Polisi
iliyofanyika katika viwanja vya Kituo cha Kati cha Polisi,jijini Dar es
salaam. Waziri Chikawe alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini(IGP), Ernest Mangu, akimpongeza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe, mara baada ya kufungua kituo cha
Mawasiliano ya Dharula cha Polisi iliyofanyika katika viwanja vya kituo
cha kati cha Polisi,jijini Dar es salaam.Waziri Chikawe alikuwa mgeni
rasmi katika hafla hiyo.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (wa nne kutoka kulia
mstari wa kwanza), akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Makame Mbarawa (wa tatu
kutoka kulia – mstari wa mbele), viongozi mbalimbali wa jeshi la Polisi
wakiongozwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Ernest Mangu( watano kutoka
kulia) na Wawakilishi mbalimbali kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
(TCRA), mara baada ya uzinduzi wa Kituo cha Mawasiliano ya Dharura cha
Polisi uliofanyika katika viwanja vya Kituo cha Kati cha Polisi,jijini
Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269