Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti
Magonjwa ya Binadamu Dk. Mwele Malecela pichani kabla ya kuingia
katika chumba cha habari katika Redio ya Mwambao iliyopo Tanga eneo la
Kange ndani ya Kiwanda cha Tanga Fresh ambaye ni mtoto wa Makamu wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) John Malecela ni miongoni mwa wana CCM ambao wamejitosa kugombea urais kupitia CCM. Dk. Mwale katika maisha yake mengi kwa zaidi ya miaka20 amekua mtumishu katika Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) ambako alianza kazi akiwa kijana na akapanda hadi kuwa mtafiti mkuu na baadaye akateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu, licha ya kukulia katika familia ya mwanasiasa
Dk. Mwele Malecela akizungumza na wananchi kupitia kituo cha Mwambao Radio
Dk.
Mwele Malecela (kulia) akizungumza na wananchi kupitia kituo cha
Mwambao Radio lilichopo Tanga eneo la Kange ndani ya Kiwanda cha Tanga
Freshi, kushoto ni mtangazaji wa zam Jonas Msangi
Dk. Mwele Malecela katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa kituo cha Mwambao Radio. (PICHA NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa UJIJIRAHAA BLOG. simu no 0713481158-0757481158-0787481158
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269