Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa
hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa Mki wa Avic, ‘Avic
Town’, uliofanyika Juni 13, 2015 Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Balozi wa China nchini
Tanzania, Dkt. Lyu Youqing (kulia), Makamu wa Rais wa ‘Avc
International’, Dkt. Cheng Baozhong (kushoto) kwa pamoja wakikata utepe
kuzindua ramsi Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Avoc ‘Avic Town’, uliozinduliwa Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Balozi wa China nchini
Tanzania, Dkt. Lyu Youqing (kulia), kwa pamoja wakifunua kitambaa
kuashiria kuweka jiwe la Msingi la uzinduzi ramsi wa Mradi wa Ujenzi wa
Mji wa Avoc ‘Avic Town’, uliozinduliwa Kigamboni jijini Dar es
Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Balozi wa China nchini
Tanzania, Dkt. Lyu Youqing (kulia), Makamu wa Rais wa ‘Avc
International’, Dkt. Cheng Baozhong (wa pili kushoto) kwa pamoja
wakifurahia baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Mji wa
Avoc ‘Avic Town’, uliozinduliwa Kigamboni jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa
kumbukumbu baada ya kuzindua ramsi Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Avic ‘Avic
Town’ uliofanyika Juni 13, 2015, Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia mandhali ya
jiko katika moja kati ya nyumba zilizojengwa katika eneo hilo, wakati
alipokuwa akitembelea nyumba hizo baada ya uzinduzi rasmi wa Mradi wa
Ujenzi wa Mji wa Avic ‘Avic Town’ Kigamboni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea mradi huo
kukagua mara baada ya kuuzindua Kigamboni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya viongozi baada ya uzinduzi huo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269