Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana aliofanyika leo mjini Ngara mkoani Kagera |
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipatiwa maelezo kuhusu mradi wa maji katika mji wa Ngara akiwa katika ziara kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM na uhai wa Chama katika mkoa wa Kagera, leo |
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akijadili jambo na Mkuu wa mkoa wa Kagera, alipokuwa akikagua ujenzi wa mradi wa Umeme Vijijini (REA) katika mji wa Ngara mkoani Kagera leo |
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua chama cha Maendeleo ya Kina mama katika wilaya ya Ngara, kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Ngara mkoani Kagera leo. |
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikata keki kuzindua akizindua Chama cha Maendeleo ya Kina mama wa Wilayani Ngara mkoani Kagera kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika mji wa Ngara leo |
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara aliofanya katika Kijiji cha Rulenge wilayani Ngara mkoani Kagera leo |
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisaidia kumpatia bati fundi aliyekuwa akipaua, wakati alipotembelea jenzi wa Ofisi ya CCM tawi la Mujebwe, wilayani Ngara mkoani kagera leo |
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimwisha ndoo ya maji Francisca Katana, baada ya kuzindua mradi wa maji wa Kijiji cha Rulenge wilayani Ngara mkoani kagera |
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika Kijiji cha Rulenge wilayani Ngara mkoani Kagera leo |
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara wa Kinana uliofayika katika kijiji cha Rulenge, wilayani Ngara mkoani Kagera leo |
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara wa Kinana uliofayika katika kijiji cha Rulenge, wilayani Ngara mkoani Kagera leo |
Wananchi wakishangilia katika mkutano wa hadhara wa Kinana uliofanyika katika Kijiji cha Rulenge wilayani Ngara mkoani Kagera |
Mmoja wa wazee wa Kijiji cha Rulenge wilayani Ngara mkoani Kagera akiomuonyesha vielelezo kuhusu kero za mashamba zinazowakabili wananchi wa kijiji hicho, leo |
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269