Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akizungumza na Madaktari wa Kichina waliopo Zanzibar waliofika
kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wao wa kazi katika Hospitali mbali
mbali Unguja na Pemba (wa pili kulia) Balozi Mdogo wa China Nchini
Tanzania anyefanyia kazi Zanzibar Mhe,Xie Yunliang,
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akiwa katika mazungumzo na Balozi Mdogo wa China Nchini Tanzania
anyefanyia kazi Zanzibar Mhe,Xie Yunliang wakati akiongoza ujumbe wa
Madaktari wa Kichina waliopo Zanzibar waliofika kumuaga Rais (hawapo
pichani) baada ya kumaliza muda wao wa kazi katika Hospitali mbali mbali
Unguja na Pemba,Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269