Mmiliki
wa ujijirahaa blog akipata tukio wakati mmoja wa wagombea nafasi ya
Urais kupitia CCM alipotembelea Ofisi ya Radio Mwambao iliyo ndani ya
kiwanda cha Tanga Fresh.
Baadhi ya wafanyakazi wa Hifadhi ya Taifa ya Saadani wakiweka bango la hifadhi hiyo eneo la njiapanda ya Bagamoyo na Msata
Taswira ya Barabara iendayo Tanga
Magari yakipishana bila tahadhari yakiwa katika mwendo kasi barabara ya Tanga
Muonekano wa barabara ya Tanga
Nyani wakipendezesha mandhari toka Chalinze kwenda Tanga maeneo ya mto Wami
Mandhari nzuri ya Daraja la mto wami
Kijana Kumba Thadeo akionyesha umahiri kwa kutembelea baiskeli ya taili moja mkoani Tanga
Mmiliki wa blog hii ya ujijirahaa katika kiwanda cha Tanga Fresh
Mmiliki wa blog hii akiangalia umakini wa chuchu la ng'ombe bandia jinsi lilivyo tengenezwa
Mandhari ya kuzama kwa juwa milima ya Tanga
Mwendesha baiskeli akiwa amebeba malisho ya mifugo maeneo ya Mvomero jana
Maeneo ya kilosa
Mwendesha
pikipiki wa mbele yenye namba za usajili T 679 MT akiwa ameweka miguu
chini baada ya kuingia barabarani na kutaka kugongwa na gari na
kupepesuka akiwa na mwenzake mwenye pikipiki yenye usajili T 232 DBF
akishuhudia mwenzake alivyotaka kuanguka
Ubebaji wa mkaa ni hatari kupita uwezo na kutumia barabara bila uangalifu
Wananchi wakiangalia ajali iliyo husisha Lori na Pikipiki kugongana stendi ya mabasi Msamvu mkoani morogoro
Mkazi wa Morogoro akiwa amejitwisha mzigo wa kuni ka matumizi ya nyumbani
Askari wa Usalama Barabarani wakikagua gari maeneo ya Mlandizi mkoani Pwani
Mwendesha Pikipiki akiwa amebeba Abiria bila kuzingatia uvaaji wa kofia ngumu
Wafanya biashara ndogondogo wakiuza bidhaa zao kwa abiria waliyomo ndani ya basi maeneo ya Chalinze
Ubovu wa barabara toka Mlandizi hadi Chalinze waleta adha kwa watumiaji wa barabara hiyo
Taswira ya barabara ya eneo
'Utamaduni;' Sanamu la mwali wa kabila la kikwele likiwa limewekwa pembezoni mwa barabara Morogoro maeneo ya Chalinze,
Madereva wa magari wanavyo pishana kwa kasi
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269