Breaking News

Your Ad Spot

Jun 12, 2015

ZIARA YA KINANA YAACHA GUMZO, KARAGWE, NI KWA KUWATETEA WANANCHI KATIKA KERO ZA MUDA MREFU


Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika Uwanja wa michezo wa Kayanga, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika wilaya ya Karagwe mkoani Kagera, leo
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika Uwanja wa michezo wa Kayanga, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika wilaya ya Karagwe mkoani Kagera, leo
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia mkutano wa Kinana  katika Uwanja wa michezo wa Kayanga leo. Kinana hupo katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika wilaya ya Karagwe mkoani Kagera.
Mbunge wa Karagwe, Gosbert Blandes akieleleza jinsi alivyoshiriki utekelezaji wa ilani ya CCM katika jimbo hilo alipohutubia mkutano wa Katibu mkuu wa CCM leo katika uwanja wa  Kayanga, mkoani Kagera
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza kabla ya kuzindua Saccos ya Vijana wote, inayosimamia na Umoja wa Vijana wa CCM katika mji mdogo wa Kayanga, wilayani Karagwe mkoa wa Kagera, leo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua Chama Cha Akipa na Mikopo (SACCOS) cha vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM, katika mji mdogo wa  Kayanga, wilayani Karagwe mkoani Kagera leo. Kulia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana  CCM, Karagwe, Yahya Katembe.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa ameshikana mikono na viongozi wa UVCCM na vijana watano ambao wamepata mkopo wa pikipiki moja kila mmoja, katika mjihuo mdogo wa Kayaga,wilayani Karagwe baada ya kuzindua Saccos ya UVCM katika mji huo leo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Nyaishozi, wilayani Karagwe mkoani Kagera leo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua mradi wa maji katika kijiji cha Nyaishozi mkoani Kagera leo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika wilaya ya Karagwe mkoani humo.
Katibu Mkuu  wa CM, Abdulrahman Kinana akimtwisha ndoo,Adela Abogasti  baada ya kuzindua mradi wa maji katika kijiji cha Nyaishozi wilayani Karagwe mkoani Kagera leo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Kibondo, wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wailani ya CCM na uhai wa Chamamkoani Kagera.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano huo kabla ya Kinana
Mkuu wa mkoa wa Kagera, John Mongela akisalimia wananchi katika mkuano huo wa Kinana katika Kijiji cha Kibondo wilayani Karagwe mkoani humo.
Wananchi wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana aklipowahutubia katika mkuatno wa hadhara wa Kijiji cha Nyaishozi wilayani Karagwe mkoani Kagera leo
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwasili kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kibondo wilayani Karagwe mkoani Kagera leo
Kijana akitumbuiza kwa kupiga pipa la plastiki, wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana katika Kijiji cha Kibondo wilayani Karagwe mkoani Kagera leo.


KIWANDA CHA KAGERA SUGAR


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiuzsikiliza uongozi wa Kiwanda cha Sukari cha Kagera, Kagera Sugar Ltd, alipotembelea kiwanda hicho akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama wilayani Karagwe mkoani Kagera leo
Mitambo ikiwa katika hatua ya kwanza ya kiutayarisha ili kukamuliwa sukari katika kiwanda hicho
Uongozi wa Kiwanda cha agera Sugar ukimtembeza atibu Mkuu wa CCM, kujionea utendaji kazi wa kiwanda hicho leo
Kinana akikatiza katika maeneo mbalimbali ya kiwanda hicho kuona shughuliza za uzalishaji sukari zinavyofanyika
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (watatu kulia) akishuhudia namna sukari inavyozalishwa na kuwekwa katika magunia wakati wa ziara katika kiwanda cha Kagera Sugar leo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipata maelezo aipokagua eneo la kuzalisha umeme la kiwanda cha Sukari cha Kagera, alipotembelea kiwanda hicho leo


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihoji jambo alipokagua trekta zinavyoandaa eneo la upandaji miwa katika kiwanda cha sukari cha Kagera, alipotembelea kiwanda hicho leo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika trekta maalum za kutayarisha eneo la kupanda miwa katika kiwanda hicho ambapo baadaye aliliendesha kuona linavyofanya kazi
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiendesha  trekta maalum za kutayarisha eneo la kupanda miwa katika kiwanda hicho.
Katibu Mkuu wa CCM, akishuka kwenye trekta baada ya kuliendesha


Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akishuka kwenye trekta la utayarishaji eneo la kupanda miwa katika mashamba ya kiwanda cha Kagera sugar, baada ya yeye na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kukagua kiwanda hicho
Katibu wa NEC, Itikad na Uenezi, Nape Nnauye akiwa na baadhi ya vijana wanaofanyakazi ya kuendesha matrekta maalum ya kilimo katika mashamba ya kiwanda cha sukari cha Kagera
Msafara wa Katibu Mkuu wa CM Abdulrahman Kinana ukichanja mbuga kwendanda katika kijiji cha Ndama, wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo
Wananchi katika kijiji cha Ndama wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara leo
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Ndama wilayani Karagwe mkaoni Kagera
Mizinga ya nyuki katika mradi wa ufugaji nyuki katika kijiji cha Ndama, wilayani Karagwe mkoani Kagera


Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akipata maelezo ya namna ya ufugaji nyuki kisasa kutoka kwa moja ya viongozi wa mradi wa ufugaji nyuki na utunzaji wa mazingira David Kamala, Kishoju, alipotembelea mradi wa ufugaji nyuki katika kijiji cha  Ndama wilayani Karagwe
Katibu Mkuu wa  CCM Abdulrahman Kinana akizindua mradi wa ufugaji nyuki wilayani Karagwe mkaoni kagera
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa banda la kuhifadhia vifaa vya ufugaji nyuki alipotebelea mradi wa ufugaji nyuki katika kijiji cha  Ndama wilayani Karagwe mkaoni Kagera


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikabidhi vifaa vya ufugaji nyuki kwa mmoja wa wanachama wa mradi wa ufugaji nyuki katika Kijji cha dama wilayani Karagwe mkaoni Kagera


UKAGUZI BARABARA YA KYAKA-BUGENE MKOANI KAGERA
Gari la katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana likitimua vumbi wakati likipita kwenye barabara ya Kyaka- Bugene mkoani Kagera ambayo alikagua ujenzi wake, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama mkoani Kagera
Katibu Mkuu wa CM akipokewa na wataalam wa kampuni ya Kichina inayojenga barabara hiyo, alipowasili kukagua ujenzi wa barabara hiyo katika kijiji cha Ndama, wilayani Karagwe mkoani Kagera,leo.
Kinana na msafara wake wakipata maelezo kuhusu ujenzi wa barabara hiyo
Gari likimwagia maji kabala ya kuweka lami kwenye ujenzi wa barabara hiyo
Kinana akitazama ujenzi wa barabara unavyoendelea
Kinana na Nape wakitazama uwekaji lami unavyofanyika katika ujenzi wa barabara hiyo
Wananchi wa Kijiji cha Kitundu wilayani Karangwe wakitumbuiza kwa ngoma kumlaki Kinana alipowasili katika kijiji hicho kushiriki ujenzi wa madarasa katika shule ya kijiji hicho
KInana akishiriki kupiga lipu kwenye chumba cha darasa kinachojengwa katika shule ya msingi Kitundu wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo
Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kitundu wilayani Karagwe mkoani Kagera


KIWANDA CHA KUBANGUA KAHAWA NA MAHARAGE KATIKA KIJIJI CHA NDAMA




Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa Kiwanda cha kuchambua kahawa na maharage katika Kijiji cha Ndama akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika wilaya ya Karagwe mkoani Kagera leo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages