Mratibu
Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez, akisalimiana na Mwandishi
mwandamizi wa mtandao wa habari wa Modewjiblog,
Andrew Chale alipotembelea katika banda la mtandao huo ambao mwaka huu
mwezi Septemba unatimiza miaka 7 tangu kuanzishwa ambapo wametumia fursa
ya maonyesho ya saba saba kukutana na wadau mbalimbali wanaotumia
mtandao huo kupata habari mbalimbali sambamba na kubadilishana mawazo na
ushauri wa maboresho ya kazi. Kushoto aliyefuatana naye ni Mtaalam wa
Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu.
Kulia ni mdau wa karibu na mshauri wa mtandao wa habari Modewjiblog,
Lemmy Hipolite.
Mratibu
Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez, aliyeambatana na Mtaalam wa
Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu
akiangalia moja ya documentary ya TV katika banda hilo minayoonyesha
wadau mbalimbali wanaotumia mtandao huu ambao walipata kuhojiwa.
Mmoja wa wadau wa Modewjiblog,
Rehema Pascal akiuzungumzia mtandao wa habari wa Modewjiblog
alipotembelewa ofisini kwake wakati wa kurekodi 'documentary' hiyo.
Pichani
juu na chini ni Mratibu Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa na
mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez
akiangalia kazi mbalimbali zinazofanywa kwenye mtandao wa habari wa Modewjiblog
alipotembelea banda hilo katika maonyesho ya 39 ya kimataifa ya
biashara Sabasaba yanaoendelea kurindima katika viwanja vya Mwl. J.K
Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.
Mratibu
Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akiondoka mara baada ya
kutembelea banda la Modewjiblog, lililopo katika banda la MeTL Group.
Meneja mwendeshaji wa mtandao wa habari wa Modewjiblog,
Zainul Mzige akitoa maelezo juu ya mtandao huo unavyofanya kazi zake
ambapo aliwataka vijana hao kutembelea mara kwa mara ikiwemo kufaidika
na nafasi za ajira zinazotolewa kwenye mtandao huo zikiwemo habari za
kitaifa na kimataifa, burudani, michezo, utamaduni n.k.
Meneja mwendeshaji wa mtandao wa habari wa Modewjiblog, Zainul Mzige (kulia) na Mwandishi mwandamizi wa mtandao wa habari wa Modewjiblog,
Andrew Chale wakikabidhi zawadi za fulana maalum kwa wadau
waliotembelea katika banda la mtandao huo katika maonyesho ya 39 ya
kimataifa ya biashara Sabasaba yanaoendelea kurindima katika viwanja vya
Mwl. J.K Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.
Mwandishi mwandamizi wa mtandao wa habari wa Modewjiblog, Andrew Chale akikabidhi zawadi ya kofia na fulana kwa Mmiliki wa blog ya Kajunason blog, Cathbert Kajuna (kulia) aliyetembelea banda la mtandao huo.
Wadau wakiendelea kumiminika kwenye banda la Modewjiblog
katika maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara Sabasaba yanaoendelea
kurindima katika viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini
Dar.
Mwandishi mwandamizi wa mtandao wa habari wa Modewjiblog, Andrew Chale akikabidhi zawadi ya fulana na kofia kwa Mwandishi wa Michuzi blog, Chalila Kibuda aliyembelea banda hilo.
Mwandishi mwandamizi wa mtandao wa habari wa Modewjiblog,
Andrew Chale (kulia) akitoa maelezo ya utofauti wa habari za kwenye
magazeti na blog kwa mmoja wa wadau anayesoma habari mbalimbali katika
mtandao huo, Peter Chilumba.
KAWAIDA
IMG_6278
Mratibu
Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez, akisalimiana na Mwandishi
mwandamizi wa mtandao wa habari wa Modewjiblog, Andrew Chale
alipotembelea katika banda la mtandao huo ambao mwaka huu mwezi Septemba
unatimiza miaka 7 tangu kuanzishwa ambapo wametumia fursa ya maonyesho
ya saba saba kukutana na wadau mbalimbali wanaotumia mtandao huo kupata
habari mbalimbali sambamba na kubadilishana mawazo na ushauri wa
maboresho ya kazi. Kushoto aliyefuatana naye ni Mtaalam wa Mahusiano na
Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu. Kulia ni mdau
wa karibu na mshauri wa mtandao wa habari Modewjiblog, Lemmy Hipolite.
IMG_6282
Mratibu Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez, aliyeambatana na Mtaalam wa
Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu
akiangalia moja ya documentary ya TV katika banda hilo minayoonyesha
wadau mbalimbali wanaotumia mtandao huu ambao walipata kuhojiwa.
DSC_0646
Mmoja wa wadau wa Modewjiblog, Rehema Pascal akiuzungumzia mtandao wa
habari wa Modewjiblog alipotembelewa ofisini kwake wakati wa kurekodi
'documentary' hiyo.
IMG_6284
Pichani juu na chini ni Mratibu Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa na
mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez
akiangalia kazi mbalimbali zinazofanywa kwenye mtandao wa habari wa
Modewjiblog alipotembelea banda hilo katika maonyesho ya 39 ya kimataifa
ya biashara Sabasaba yanaoendelea kurindima katika viwanja vya Mwl. J.K
Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.
IMG_6297
IMG_6304
Mratibu Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la
Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akiondoka mara baada ya
kutembelea banda la Modewjiblog, lililopo katika banda la MeTL Group.
IMG_5671
Meneja mwendeshaji wa mtandao wa habari wa Modewjiblog, Zainul Mzige
akitoa maelezo juu ya mtandao huo unavyofanya kazi zake ambapo aliwataka
vijana hao kutembelea mara kwa mara ikiwemo kufaidika na nafasi za
ajira zinazotolewa kwenye mtandao huo zikiwemo habari za kitaifa na
kimataifa, burudani, michezo, utamaduni n.k.
IMG_5688
Meneja mwendeshaji wa mtandao wa habari wa Modewjiblog, Zainul Mzige
(kulia) na Mwandishi mwandamizi wa mtandao wa habari wa Modewjiblog,
Andrew Chale wakikabidhi zawadi za fulana maalum kwa wadau
waliotembelea katika banda la mtandao huo katika maonyesho ya 39 ya
kimataifa ya biashara Sabasaba yanaoendelea kurindima katika viwanja vya
Mwl. J.K Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.
IMG_5508
Mwandishi mwandamizi wa mtandao wa habari wa Modewjiblog, Andrew Chale
akikabidhi zawadi ya kofia na fulana kwa Mmiliki wa blog ya Kajunason
blog, Cathbert Kajuna (kulia) aliyetembelea banda la mtandao huo.
DSC_1164
Wadau wakiendelea kumiminika kwenye banda la Modewjiblog katika
maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara Sabasaba yanaoendelea kurindima
katika viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.
DSC_0795
Mwandishi mwandamizi wa mtandao wa habari wa Modewjiblog, Andrew Chale
akikabidhi zawadi ya fulana na kofia kwa Mwandishi wa Michuzi blog,
Chalila Kibuda aliyembelea banda hilo.
DSC_1277
Mwandishi mwandamizi wa mtandao wa habari wa Modewjiblog, Andrew Chale
(kulia) akitoa maelezo ya utofauti wa habari za kwenye magazeti na blog
kwa mmoja wa wadau anayesoma habari mbalimbali katika mtandao huo,
Peter Chilumba.
--
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269