.

TIMU YA WIZARA YA AFYA YAANZA MAZOEZI YA MAANDALIZI YA MASHINDANO YA SHIMIWI KATIKA UWANJA WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI DAR ES SALAAM

Jul 15, 2015

 Kocha wa timu ya Wizara ya Afya na  Ustawi wa Jamii, Ally Lidengi, akitoa maelekezo kwa wachezaji wa mchezo wa kamba  wakati wa Maandalizi ya Mashindano ya Shimiwi katika uwanja wa Taifa Muhimbili Dar es Salaam yanayotarajiwa kuanza 15 Septembar 2015  Jijini Morogoro.


Kocha wa timu ya Wizara ya Afya na  Ustawi wa Jamii, Ally Lidengi, akitoa maelekezo kwa wachezaji hao wakati wa Maandalizi ya Mashindano ya Shimiwi katika uwanja wa Taifa Muhimbili Dar es Salaam yanayotarajiwa kuanza 15 Septembar 2015  Jijini Morogoro.(PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª