Mgombe
Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wananchi wa Muheza kwenye mkutano
wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa CCM mapema leo mchana wilayani
humo mkoani Tanga
Mgombe
Urais wa CCM Dkt Magufuli akisisitiza jambo kwa Wananchi wa Muheza
waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni
uliofanyika katika uwanja wa CCM mapema leo mchana wilayani humo mkoani
Tanga
Wananchi
wa Muheza na vitongoji vyake wakiwa wamejitokeza kwa wingi mapema leo
mchana wakimsikiliza Mgombe Urais wa CCM Dkt Magufuli,alipokuwa
akiwahutubia kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika kwenye
uwanja wa CCM mapema leo mchana wilayani humo mkoani Tanga
Mgombe
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi Ilani ya chama cha
CCM,Balozi Rajab Adadi ambaye anagombea Ubunge jimbo la Muheza,mbele ya
maelfu ya watu waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara wa
kampeni uliofanyika katika uwanja wa CCM mapema leo mchana wilayani humo
mkoani Tanga
Wananchi wakishangilia jambo
Mgombe
Urais wa CCM Dkt Magufuli akitoka kwwenye uwanja wa CCM mjini Muheza
mara baada ya kuwahutubi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni
uliofanyika katika uwanja wa CCM mapema leo mchana wilayani humo mkoani
Tanga.
PICHA NA MICHUZI JR-MUHEZA.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269