Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib
Bilal,akizungumza na wananchi kwenye ufunguzi wa mkutano wa Mwaka wa
waganga wakuu wa Mikoa,halmashauri na wakurugenzi wa Hospitali za Rufaa
hapa nchini katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano
wa ubungo Plaza jijini Dar es Salaam leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal
akimkabidhi tunzo kwa wataalamu waoshiriki jitihada za
kudhibiti Ugonjwawa Ebola Afrika Mashariki, Katibu Mkuu wa Wizara ya
Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Dnan Mmbando jijini Dar es Salaam leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal
akimkabidhi tuzo wataalam walioshiriki jitihada za kudhibiti ugonjwa wa
Ebola Afrika Mashariki Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,
Dkt.Stephen Kebwe jijin Dar es Salaam leo.
Sehem ya wananchi waliohudhulia katika mkutano huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib
Bilal akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mabalimbali leo jijini
Dar es Salaam .
(Picha na Emmanuel Massaka)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269