Pazia la ligi kuu Tanzania bara
limefunguliwa rasmi jana ambapo michezo saba imechezwa kwenye viwanja
tofauti wakati jumla ya timu 14 zilikuwa viwanjani zikiwania pointi tatu
muhimu, matokeo ya mechi zote zilizochezwa siku ya Jumamosi ni kama
ifuatavyo;
Azam FC 2-1 Tanzania Prisons (Azam Complex, Chamazi)
African Sports 0-1 Simba (Mkwakwani, Tanga)
Ndanda FC 1-1 Mgambo JKT (Nangwanda Sijaona, Mtwara)
Toto Africans 1-0 Mwadui FC (CCM Kirumba, Mwanza)
Stand United 0-1 Mtibwa Sugar (Kambarage, Shinyanga)
Majimaji FC 1-0 JKT Ruvu (Majimaji, Songea)
Mbeya City FC 0-1 Kagera Sugar
Leo
utachezwa mchezo mmoja wa ligi kuu Tanzania bara kwa kuzikutanisha Yanga
dhidi ya Coastal Union ya Tanga mchezo utakaopigwa kwenye uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269