Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Picha ya Rais wa Kwanza wa
Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume kutoka kwa Kiongozi wa
Matembezita Umoja wa Vijana wa CCM Daudi Ismail katika kuadhimisha miaka
52 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo katika viwanja vya maisara Suleiman
Mjini Unguja (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma khamis
,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Matembezita Umoja wa
Vijana wa CCM katika kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo
katika viwanja vya maisara Suleiman Mjini Unguja,
Vijana
wa Umoja wa Chama cha Mapinduzi CCM walioshiriki matembezi ya
kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofikia kilele katika
Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja le wa kila kiapo cha kuyaenzi
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar mbele ya mgeni rasmi Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,baada ya kuyapokea matembezi hayo
yaliotembea katika Mikoa Minee ya Kichama
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Vijana wa Umoja wa Vijana UVCCM walioshiriki matembezi ya kuadhimisha Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika Viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja na kupolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheinkuzungumza na Vijana walioshiriki matembezi ya kuadhimisha Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika Viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja,
Kaimu
Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akimkaribisha Mwenyekiti
wa Umoja wa Vijana Taifa kuzungumza na Vijana walioshiriki matembezi ya
kuadhimisha Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika
Viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja,baadae kumakaribisha mgeni
rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
Vijana wa Umoja wa Chama cha Mapinduzi CCM walioshiriki matembezi ya kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofikia kilele katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja le wa kila kiapo cha kuyaenzi Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,baada ya kuyapokea matembezi hayo yaliotembea katika Mikoa Minee ya Kichama,
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269