Breaking News

Your Ad Spot

Feb 19, 2016

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO ANAYE SHUGHULIKIA SEKTA YA MAWASILIANO AKABIDHIWA GARI NA BALOZI WA FINLAND

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia Sekta ya Mawasiliano, Profesa Faustin Kamuzora (wa pili kulia) akizungumza katika  hafla fupi kabla ya  makabidhiano ya msaada wa Gari kwa ajili ya mradi wa ushirikiano wa kuongeza uzowefu uliyofanyika jana jijini Dar es Salaam. ambapo lilikabidhiwa na Balozi wa Finland Nchini Tanzania.  (PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA) 



 Balozi wa Finland




No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages