Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mratibu Mkazi wa Umoja wa
Mataifa nchini, Bw. Alvaro Rodriguez Ofisini kwake jijini Dar es salaam .
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Uturuki nchini, Mhe.
Yosemin Eralp kabla ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini .
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Ireland nchini, Mhe.
Fionnuala Gilsenan, Ofisini kwake jijini Dar es salaam
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Switzerland nchini,
Mhe. Florence Tinguely Mattli, Ofisini kwake Mkuu jijini Dar es
salaam
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269