RC PAUL MAKONDA AZUNGUMZA NA WENYEVITI NA MAOFISA WATENDAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM UKUMBI WA MWALIMU NYERERE
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akizungumza na wenyeviti na
maofisa watendaji wa jiji la Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu mambo
mbalimbali hasa suala la usafi wa mazingira.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando akiongoza mkutano huo.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akizungumza katika mkutano huo.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema akizungumza katika mkutano huo.
Mwakilishi
wa Taasisi ya Wakala wa Upimaji Ardhi Tanzania, Linus Kinyondo
akizungumzia suala zima la ujenzi wa nyumba kwa kuzingatia mipango miji
ili kutunza mazingira.
Wenyeviti na maofisa watendaji wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda (hayupo pichani)
Maofisa Watendaji na Wenyeviti wa Manispaa ya Kinondoni wakipiga makofi kwenye mkutano huo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269