Breaking News

Your Ad Spot

Mar 17, 2016

RIDHIWANI:NITAHAKIKISHA NABORESHA BARABARA ZA MKOA WA PWANI

Mbunge wa Chalimze na Makamu Mwenyekiti wa mfuko wa Barabara wa Mkoa wa Pwan,Ridhiwani Kikwete,akitoa maelekezo katika mkutano wa mfuko huo Kibaha.


Akizungumza na Uhuru Fm,amesema wamejipanga kuhakikisha wana tatua kero za barabara katika mkoa huo na kuziboresha ili ziweze kupitika kirahisi na wananchi katika shughuli zao za ujenzi wa Taifa na kuangalia ubora wa barabara kwenda sambamba na gharama ya fedha inayotumika.


Msikilize Ridhiwani Kikwete akizungumzia mikakati ya kuboresha barabara za Mkoa wa Pwani.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages