TASAF YAPATIWA DOLA MILIONI 665 KUNUSURU KAYA MASIKINI
Katibu
Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servacius Likwelile (kulia)
akiongea na wadau wa maendeleo mara baada ya kusaini mkataba wa
makubaliano wa jumla ya Dola za Kimarekani milioni 665 zilizotolewa na
Wadau wa Maendeleo ili kusaidia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)
katika Mpango wake wa Kunusuru Kaya Masikini nchini. Kushoto ni
Mwenyekiti wa Wadau wa Maendeleo nchini ambaye pia ni Mkurugenzi Mkazi
wa Benki ya Dunia anayesimamia nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na
Somalia Bi. Bella Bird.
Katibu
Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servacius Likwelile (kulia)
akibadilishana mkataba wa makubaliano na Mwenyekiti wa Wadau wa
Maendeleo nchini ambaye pia ni Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia
anayesimamia nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Bi. Bella Bird
(kushoto) mara baada ya kusaini makubaliano ya jumla ya Dola za
Kimarekani milioni 665 zilizotolewa na Wadau hao ili kusaidia Mfuko wa
Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini
nchini.
Katibu
Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servacius Likwelile akisaini
mkataba wa makubaliano wa jumla ya Dola za Kimarekani milioni 665
zilizotolewa na Wadau wa Maendeleo nchini ili kusaidia Mfuko wa
Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini
nchini.
Wadau
wa Maendeleo wakimskiliza Mwenyekiti wa Wadau wa Maendeleo nchini
ambaye pia ni Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia anayesimamia nchi za
Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia Bi. Bella Bird wakati wa mkutano
jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269