WAZIRI
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira, na Watu wenye Ulemavu),
Jenista Mhagama (Mb), akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa PEDDEREF, Nuru
Saleh, juu ya misingi ya upataji nafuu kwa watumiaji wa dawa za kulevya wakati
wa sherehe za kutimiza miaka 3 tangu kuanzishwa kituo cha kusaidia watu wenye uraibu wa madawa ya kulevya cha PEDDEREF Kigamboni jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo
imefanyika Ijumaa Machi, 4, 2016. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira, na Watu wenye Ulemavu), Jenista Mhagama (Mb) akiagana na Mkurugenzi wa PEDDEREF, Nuru Saleh, mara baada ya kushiriki sherehehizo |
Mraibu
aliyepata nafuu ya utumiaji dawa za kulevya wa Kituo cha Upataji nafuu wa dawa
hizo PEDDEREF cha Kigamboni, Kidongoni, jijini Dar esaalam, Bi. Eliza
akiwaongoza washiriki wengine kusoma sala ya kukiombea kituo hicho wakati wa
sherehe za kutimiza miaka 3 tangu kuanzishwa kwake, Tarehe 04 Machi, 2016
WAZIRI
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira, na Watu wenye Ulemavu),
Jenista Mhagama (Mb), akikabidhiwa risala na Meneja wa PEDDEREF, wakati wa
sherehe za kutimiza miaka 3 tangu kuanzishwa kituo hicho cha upataji nafuu kwa
watumiaji wa dawa za kulevya, Tarehe 04 Machi, 2016, Jijini Dar es Salaam.
WAZIRI
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira, na Watu wenye Ulemavu),
Jenista Mhagama (Mb),(katikati waliokaa) akiwa na waraibu wa Kituo cha
Upataji nafuu wa matumizi ya dawa za kulevya (waliosimama) wakati wa
sherehe za kutimiza miaka 3 tangu kuanzishwa kituo hicho, Tarehe 04
Machi, 2016, jijini Dar es Salaam (mwenye ushungi) Mkurugenzi wa PEDDEREF, Nuru
Saleh.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269