Breaking News

Your Ad Spot

Apr 26, 2016

MWENYEKITI WA CCM, RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AREJEA NCHINI LEO AKITOKEA CHINA


 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu jakaya Kikwete akiwa na Katibu wake, Suleiman Mwenda baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, leo akitokea nchini China alikokuwa katika ziara ya kikazi kwa mwaliko wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC).
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akilakiwa na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida
 Mwenyekiti wa CC,M Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa na Madabida
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizungmza na  baadhi ya viongozi  
 Jk akiingia ukumbini kuzungumza na waandishi
 Jk akiwa tayari kuzungumza na waandishi wa Habari
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizungumza na Waandishi wa Habari leo baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere mjini Dar es Salaam, akitoa nchini China alikokuwa katika ziara ya kikazi. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam. Ramadhani Madabida. (Picha zote na Bashir Nkoromo).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages