Mwananchi
wakiangalia ajali ya Noah yenye namba za usajili T 367 DAK iliyoacha
njia na kutumbukia kwenye mtaro jirani na Kanisa la Mtakatifu Joseph,
Bandarini Dar es Salaam jana asubuhi.
"Ni kama anaongea maskini mmiliki wa Noa hii hivi watu waliokuwa wamepanda wamesalimika ?"
Noa ikiwa mtaroni. Chanzo cha ajali hiyo hakikuweza kufahamika.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269