Waziri
Mkuu,
Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Mtandao wa Vyama vya Wazee
Tanzania Ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Aprili 29, 2016.
Kushoto kwake ni Naibu Wziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee
na
Watoo, Dkt. Hamis Kigwangalla. Baada ya mazungumzo hayo, waziri
Kigwangalla aliwaambia waandishi wa habari kuwa, Muswada wa sheria
unaolinda maslahi ya wazee hapa nchini, utawasilishwa bungeni mwezi
Septemba mwaka huu wa 2016 .(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi wa Mtandao wa Vyama vya Wazee
Tanzania baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake jijini bungeni mjini Dodoma
Aprili 29, 2016. Kushoto kwake ni Naibu Wziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoo, Dkt. Hamis Kigwangalla .(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269