Breaking News

Your Ad Spot

Jun 9, 2016

DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI VYA SERIKALI IKULU MJINI ZANZBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo vya Serikali pamoja na Viongozi wa Wizara ya Habari katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo Juni 9, 2016. (PICHA NA IKULU).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo vya Serikali pamoja na Viongozi wa Wizara ya Habari katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo Juni 9, 2016.
MKurugenzi Mkuu wa Shirika la Habari la Utangazji Zanzibar (ZBC) Hassan Mitawi alipokuwa akitoa mchango wake  wakati wa mkutano uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein kuzungumza na waandishi wa Habari wa Vyombo vya Serikali leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Mwandishi wa Shirika la Habari la Utangazji Zanzibar (ZBC)Tv Maulid Kipevu  akitoa mchango wake wakati wa mkutano uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein kuzungumza na waandishi wa Habari wa Vyombo vya Serikali  leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Mwandishi mwandamizi wa Shirika la Habari la Utangazji Zanzibar (ZBC) Redio Hassan Vuai  akitoa mchango wake wakati wa mkutano uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein kuzungumza na waandishi wa Habari wa Vyombo vya Serikali katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
 Mwandishi wa Gazeti la Zanzibar leo Hapsa Golo akisisitiza jambo wakati alipokuwa akitoa mchango wake wakati wa mkutano uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein kuzungumza na waandishi wa Habari wa Vyombo vya Serikali leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Mwandishi mwandamizi wa Shirika la Habari la Utangazji ZBC Tv Khamis Fakih akitoa mchango wake wakati wa mkutano uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein kuzungumza na waandishi wa Habari wa Vyombo vya Serikali  katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
 Baadhi ya waandishi wakiwa kwenye mkutano huo 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo vya Serikali pamoja na Viongozi wa Wizara ya Habari katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja Juni 9, 2016.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages