Mkuu
wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu akikagua gwaride jana katika chuo
cha taaluma ya Polisi Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kuwavisha
nishani IGP mstaafu Omari mahita na IGP mstaafu Saidi Mwema pamoja na
maafisa wengine wa Polisi, nishani ya Shirikisho la Wakuu wa Polisi wa
Nchi za Kusini mwa Afrika. IGP Mangu amewavisha nishani kwa niaba ya
Mwenyekiti wa shirikisho hilo wa sasa. Tukio lilifanyika jana katika
chuo cha taaluma ya Polisi Dar es Salaam.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu akimvisha nishani IGP mstaafu Omari
Mahita, nishani ya Shirikisho la Wakuu wa Polisi wa Nchi za Kusini mwa
Afrika (SARPCCO) kwa kuwa IGP wa kwanza Tanzania kuwa mwenyekiti wa
shirikisho hilo na kuliletea sifa Jeshi la Polisi Tanzania kimataifa.
IGP Mangu amemvisha nishani kwa niaba ya Mwenyekiti wa shirikisho hilo
wa sasa. Tukio lilifanyika jana katika chuo cha taaluma ya Polisi Dar es
Salaam.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu akimvisha nishani IGP mstaafu Saidi
Mwema, nishani ya Shirikisho la Wakuu wa Polisi wa Nchi za Kusini mwa
Afrika (SARPCCO) kwa kuwahi kuwa mwenyekiti wa shirikisho hilo na
kuliletea sifa Jeshi la Polisi Tanzania kimataifa. IGP Mangu amemvisha
nishani kwa niaba ya mwenyekiti wa shirikisho hilo wa sasa. Tukio
lilifanyika jana katika chuo cha taaluma ya Polisi Dar es Salaam.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu akimpongeza IGP mstaafu Omari
Mahita, baada ya kumvisha nishani ya Shirikisho la Wakuu wa Polisi wa
Nchi za Kusini mwa Afrika (SARPCCO) kwa kuwa IGP wa kwanza Tanzania kuwa
mwenyekiti wa shirikisho hilo na kuliletea sifa Jeshi la Polisi
Tanzania kimataifa. IGP Mangu amemvisha nishani kwa niaba ya mwenyekiti
wa shirikisho hilo wa sasa. Tukio lilifanyika jana katika chuo cha
taaluma ya Polisi Dar es Salaam.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu akimpongeza IGP mstaafu Saidi
Mwema, baada ya kumvisha nishani ya Shirikisho la Wakuu wa Polisi wa
Nchi za Kusini mwa Afrika (SARPCCO) kwa kuwahi kuwa mwenyekiti wa
shirikisho hilo na kuliletea sifa Jeshi la Polisi Tanzania kimataifa.
IGP Mangu amemvisha nishani kwa niaba ya mwenyekiti wa shirikisho hilo
wa sasa. Tukio lilifanyika jana katika chuo cha taaluma ya Polisi Dar es
Salaam.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Ernest Jumbe Mangu (katikati), akiwa
katika picha ya pamoja na Wakuu wa Jeshi la Polisi wastaafu, IGP Omari
Mahita (kushoto) na IGP Saidi Mwema. IGP mstaafu Mahita na IGP mstaafu
Saidi Mwema walivishwa nishani jana katika Chuo cha taaluma ya Polisi
Dar es Salaam, nishani ya Shirikisho la Wakuu wa Polisi wa Nchi za
Kusini mwa Afrika (SARPCCO) kwa kuwahi kuwa mwenyeviti wa shirikisho
hilo na kuliletea sifa Jeshi la Polisi Tanzania kimataifa. Nishani
walivishwa na IGP Mangu kwa niaba ya mwenyekiti wa shirikisho hilo wa
sasa.Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269