.

TUTAPAMBANA WASANII MPATE HAKI ZENU: MH. NAPE NNAUYE

Jul 16, 2016


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na Mkurugenzi wa Steps Entertainment Bw. Delish Solanki wakati akiwasili katika ukumbi wa Suncrest Cine Plex uliopo katika jengo la Quality Centre Jijini Dar es Salaam kuzindua filamu ya Sikitu Julai 15, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Suncrest Cine Plex uliopo katika jengo la Quality Centre Jijini Dar es Salaam kuzindua filamu ya Sikitu Julai 15, 2016.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na muigizaji mkongwe nchini na mmoja ya waigizaji katika filamu ya Sikitu Amir Athumani ‘King Majuto” wakati akiwasili katika ukumbi wa Suncrest Cine Plex uliopo katika jengo la Quality Centre Jijini Dar es Salaam kuzindua filamu ya Sikitu Julai 15, 2016.

Mkurugenzi wa Steps Entertainment Bw. Delish Solanki akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akiwasili katika uzinduzi wa  filamu ya Sikitu katika ukumbi wa Suncrest Cine Plex uliopo katika jengo la Quality Centre Jijini Dar es Salaam Julai 15, 2016.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช