Mh. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akizungumza jambo wakati wa hafla hiyo
Mh. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akipokelwa na viongozi mbalimbali
Diwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata ya Ukonga, Juma Mwipopo (kulia) akimsalimia Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mh. Sophia Mjema wakati wa hafla ya kukabidhi madawati katika Shule ya Msingi Gongolamboto Jeshini ambapo hafla hiyo ya Harambee ya madawati inaongozwa na Kituo cha Televishen cha Channel ten kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mh. Paul Makonda
Mhariri Mkuu Afrika, Media Chanenl Ten, Dina Chahali akimkaribisha kwa kumpokea Mh, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mh. Sophia Mjema katika hafla ya kukabidhi madawati katika Shule ya Msingi Gongolamboto Jeshini
Mwenyekiti wa kamati ya Mkoa Madawati, Hamid Abdulrahman akimkadhi madawati mia mbili Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (kushoto) ambapo hafla hiyo ya Harambee ya madawati inaongozwa na Kituo cha Televishen cha Channel ten kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mh. Paul Makonda , hafla hiyo imefanyika Dar es Salaam jana
Mh. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (kushoto) akimkabidhi madawati mia mbili, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Gongolamboto Jeshini, Joel Balua, ambapo hafla hiyo ya Harambee ya madawati inaongozwa na Channel ten kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa , hafla hiyo imefanyika Dar es Salaam jana, wakwanza kulia ni Mwenyekiti Kamati ya Shule Benjamin Wasonge
Mh. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (katikati) katika picha ya pamoja na Waalimu wa Shule hiyo
Mh. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (katikati) katika picha ya pamoja na baadhi ya Wazazi wa wanafunzi wa Shule hiyo
Mjumbe wa Kamati ya Uchangiaji madawati Mkoa wa Dar es Salaam Sakina Yusuphali akimpatia kinywaji mmoja wa wanafunzi hao
Mh. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (katikati) katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi hao wa Shule hiyo
Muonekano wa baadhi ya madarasa katika hatua ya mwisho
Muonekano wa baadhi ya madarasa katika hatua ilipofikia
Wakitoka katika kuangalia vyumba vilivyokuwa tayari na vikiwa vinamadawati
Baadhi ya wanafunzi wakiwa wameinua mikono baada ya kuulizwa swali na Mh. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, niwangapi wanao fuatilia kuangalia Tv na niwangapi hua wakiona tangazo gani? (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269