Mwenyekiti
wa kamati ya ulinzi na usalama wa Wilaya ya ikungi ambaye ni Mkuu wa Wilaya, Miraji
Jumanne Mtaturu akikagua vijana wa mafunzo ya Mgambo kutoka vijiji vitano vya
Dung’unyi, Munkinya, Kipumbuiko, Samaka na Damankiya vinavyounda Kata ya Dung’unyi
katika Tarafa ya Ikungi
Kundi
la vijana wa Mgambo kutoka Kijiji cha Ighombwe, Jerumani, na Mahonda wakionyesha
umahiri wao katika mafunzo waliyoyapata mbele ya mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa
mafunzo hayo katika Tarafa ya Sepuka
Mwenyekiti
wa kamati ya ulinzi na usalama wa Wilaya ya ikungi ambaye ni Mkuu wa Wilaya Miraji
Jumanne Mtaturu akiwa kwenye picha
ya pamoja na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya ya Ikungi
Kundi
la vijana wa Mgambo kutoka Kijiji cha Ighombwe, Jerumani, na Mahonda
wakimsikiliza mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa mafunzo hayo katika Tarafa ya
Sepuka
Mwenyekiti
wa kamati ya ulinzi na usalama wa Wilaya ya ikungi ambaye ni Mkuu wa Wilaya Miraji
Jumanne Mtaturu akijadili jambo na
Mshauri wa Mgambo Wilaya ya Ikungi Fortunatus Ndalama
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269