Breaking News

Your Ad Spot

Aug 2, 2016

JIWE KUBWA LILILOKO ANGANI HATARI KWA SAYARI YA DUNIA, MLIPUKO WAKE SAWA NA MABOMU 200 YA NYUKLIA




Wanasayansi wanakusudia kutuma chombo kuchunguza jiwe kubwa linaloelea angani ambalo huenda likahatarisha Sayari ya Dunia mwaka 2135.
      Jiwe hilo ambalo limepewa jina la BENNU lina ukubwa wa kipenyo cha mita 500 yaani urefu wa viwanja vitano vya mpira, na inaaminika kuwa endapo litaigonga dunia mlipuko wake ni sawa na tani bilioni tatu za milipuko au sawa na mabomu 200 ya nyuklia.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages