Breaking News

Your Ad Spot

Aug 10, 2016

MAAFISA ARDHI WATOA ELIMU KWA WAKAZI WA ZAKHIEM JIJINI DAR ES SALAAM

 Afisa Habari Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rehema Isango (kushoto) akimpatia   vipeperushi  mbalimbali vinavyotoa Elimu ya maelezo kuhusu huduma za Sekta ya Ardhi Nchini, Dereva mwenye Gari lenye namba za usajili T 632 BXD, maeneo ya Zakhiem, Jijini  Dar es Salaam  
  Afisa Habari Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rehema Isango (kulia) akimpatia vipeperushi mbalimbali mkazi wa Mbagala Chemchem, Kasim Bahari  (kushoto) baada ya kumpa Elimu ya mumhamasisha jinsi ya kuona umuhimu wa kulipa kodi ya pango la Ardhi,  Dar es Salaam. wakatikati ni   Afisa habari wa Wizara hiyo, Hassan Mabuye 


 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Mboza Lwandiko akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuhamasisha  wananchi kuhusiana na ulipaji wa Pango la Ardhi maeneo ya Mbagala Zakhiem  

  Afisa Habari Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rehema Isango (kulia) akiwapatia Wananchi  vipeperushi baada ya kuwaelimisha kuhusiana na mambo mambo mbalimbali na kuwapa   Elimu ya maelezo kuhusu huduma za Sekta ya Ardhi Nchini na kuwapa elimu ya ulipaji kodi za viwanja na makazi , maeneo ya Zakhiem, Jijini  Dar es Salaam  (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages