Nahodha
wa Real Madrid Sergio Ramos akishangilia huku akinyanyua kombe na
wenzake baada ya kutwaa ubingwa wa Uefa Super Cup baada ya kushinda 3-2
dhidi ya Sevilla huko Norway
Beki
wa Real Madrid Dani Carvajal akishangilia baada ya kuifungia timu yake
bao la tatu na ushindi dhidi ya Sevilla kwenye mchezo wa Uefa Super Cup.
Sergio
Ramos akiifungia Real Madrid goli la kusawazisha kwa kichwa na kufanya
matokeo kuwa 2-2 dhidi ya Sevilla kwenye mchezo wa Uefa Super Cup, kabla
ya kuibuka na ushindi ndani ya dakika 120.
Konoplyanka,
ambaye hakuwa kwenye kiwango bora kwenye Michuano ya Euro 2016 na
Ukraine, akifunga mkwaju wa penati na kuipa Sevila uongozi wa mabao 2-1.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269