Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsalimia Mkuu wa Majeshi
Mstaafu, Jenerali David Msuguri wakati alipokwenda kwenye hospitali ya Jeshi ya
Lugalo jijini Dar es salaam kuona wagonjwa baada ya kushiriki sala ya Iddi El
Haji kwenye uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es salaam Septemba 12,
2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa na mkewe Mary (kulia) wakiwajulia hali wagonjwa
wakati walipokwenda kwenye hospitali ya Jeshi ya Lugalo jijini Dar es
salaam kuona wagonjwa baada ya kushiriki sala ya Iddi El Haji kwenye uwanja wa
Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es salaam
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia) wakimjulia hali
Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali David Msuguri wakati walipokwenda kwenye
hospitali ya Jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam kuona wagonjwa baada ya
kushiriki sala ya Iddi El Haji kwenye uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar
es salaam

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia)
wakiwajulia hali wagonjwa wakati walipokwenda kwenye hospitali ya
Jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam kuona wagonjwa baada ya kushiriki sala ya
Iddi El Haji kwenye uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es salaam

Septemba 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia)
wakiwajulia hali wagonjwa wakati walipokwenda kwenye hospitali ya
Jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam kuona wagonjwa baada ya kushiriki sala ya
Iddi El Haji kwenye uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es salaam
Septemba 12, 2016.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269