Breaking News

Your Ad Spot

Sep 12, 2016

MAKAMU WA RAIS AWASILI LUSAKA KUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA RAIS MPYA WA ZAMBIA




Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka mchana huu tayari wa kumwakilisha Rais Dkt John Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Sita wa Zambia Mhe Lungu uwanja wa Mashujaa kesho Septemba 14, 2016

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages