.

RAIS DK. SHEIN AKUTANANA BALOZI MDOGO WA OMAN

Dec 27, 2016

dkg
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi Mdogo wa Oman katika Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania anayefanyia kazi zake  Zanzibar Mhe,Ahmed Bin Humoud Al Habsi,  alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha leo.
dkg-1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Balozi Mdogo wa Oman katika Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania anayefanyia kazi zake  Zanzibar Mhe,Ahmed Bin Humoud Al Habsi,  alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kujitambulisha.
dkg-2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akibadilishana mawazo na  Balozi Mdogo wa Oman katika Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe,Ahmed Bin Humoud Al Habsi,  baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kujitambulisha,[Picha na Ikulu.]27/12(P.T)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช