Mwanaume Mpalestina (mwenye jaketi la njano) mjini Jerusalem
akimshambulia polisi wa Israel kwa kisu.
...Akiendelea kumchoma kwa kisu polisi.
Polisi wakimuokoa mwenzao katikati baada ya kuchomwa kisu na
mwanaume huyo.
polisi wakiwa na mwanaume huyo baada ya kumpiga risasi.
Polisi wakiendelea kumsadia mwenzao baada ya kumuuwa
mwanaume huyo (aliyelala kushoto).
POLISI wa Israeli
wanasema kuwa wamemuua kwa kumpiga risasi mwanaume Mpalestina mjini Jerusalem
baada ya kuwashambulia.
Waziri wa Nchi za Nje, Marekani, John Kerry amewapigia simu
Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu pamoja na Rais wa Palestina, Mahmoud
Abbas na kuwataka kuleta utulivu.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269