.

VIDEO: VIDEO: WAZAZI WALAZIMISHWA KUCHIMBA KABULI, WANANCHI WAKATAA KUZIKA MWILI WA MAREHEMU

Feb 22, 2017

Wakazi wa mtaa wa Namanyingi kata ya Mshangano katika Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma, wamewalazimisha mume na mke kuchimba kabuli la mtoto wao aitwaye Danroad Mahundi mwenye umri wa miaka 36 ambaye inadaiwa wazazi hao wamemua kwa njia za kishirikina.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช