.

NAIBU SPIKA ACHANGISHA MILIONI 150 KWA AJILI YA HOSPITALI YA WILAYA YA NMTUMBO

Nov 13, 2017

Jumla ya shilingi milioni 150 zimechangwa ikiwa ni fedha taslimu na ahadi kwa ajili kujenga chumba cha upasuaji na wodi ya wazazi katika hospitali ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช