Breaking News

Your Ad Spot

Jan 26, 2018

KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YALIDHISHWA NA AINA MPYA ZA UTALII ZILIZOANZISHWA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA ZIWA MANYARA

 Mbunge wa Mtama ambaye ni  Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Nape  Nnauye akiwa  kwenye  ‘’canopy walkawaya’ ambayo aina mpya ya shughuli ya utalii  ya kutembea juu miti kwa kutumia kamba wakati kamati hiyo ilipotembelea jana katika  Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara
 Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi  (kulia) akiwa pamoja na Meneja wa Mawasiliano wa Shirika la  Hifadhi za Taifa, Paschal Shelutete wakipatiwa maelezo kutoka kwa  Simon Mushi kuhusiana na ‘’canopy walkaway’’  ambayo aina mpya  ya utalii  ya kutembea juu miti kwa kutumia kamba   wakati  Wajumbe Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii     walipofanya ziara ya kutembelea jana Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara kwa ajili ya kujionea shughuli mbalimbali zilizotekelezwa katika hifadhi hiyo 
 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga   akizungumza na vyombo vya habari akiwa katika daraja lililojengwa ndani ya ziwa manyara ambalo ni kivutio cha kipekee kwa watalii ambacho  hutumiwa na watalii kujionea maji asili ya moto (majimoto) katika eneo hilo wakati Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii ilipotembelea jana katika  Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara
 Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza na  wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii ilipotembelea jana katika  Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara kw ajili ya kuijonea shughuli mbalimbali zilizotekelezwa na Hifadhi hiyo
 Mbunge wa Busokelo ambaye ni  Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii  Atupele Mwakibete akipongeza namna   Hifadhi ya Taifa ya  Ziwa Manyara ilivyofanikiwa katika kushirikisha sekta binafsi katika kuboresha vivutio vya utalii katika hifadhi hiyo   mara baada ya  Kamati hiyo kukamalisha ziara ya kutembea ndani ya hifadhi hiyo jana kwa ajili ya kujionea shughuli mbalimbali zilizotekelezwa katika
 Mkurugenzi wa Mipango na Sera, Dkt. Idd Mfunda akiwa  kwenye  ‘’canopy walkawaya’ ambayo aina mpya ya shughuli ya utalii  ya kutembea juu miti kwa kutumia kamba katika  Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara
Mtaalamu wa Canopy walkaway , Samson Shoo akiwa ameongozana na wajumbe wa  Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii  kwa ajili ya  kwenda kwenye ‘’canopy walkawaya’ ambayo aina mpya  ya utalii  ya kutembea juu miti kwa kutumia kamba wakati Kamati hiyo ’ ilipotembelea jana katika  Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages