.

NAIBU SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA DKT. TULIA ACKSON AONGOZANA NA KAMATI YA AMANI KITAIFA ZANZIBAR KUWATEMBELEA WABUNGE WALOPATA AJALI

Apr 2, 2018

 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson (katikati) leo ameongozana na Kamati ya Amani Kitaifa Zanzibar ikiongozwa na Sheikh, Salim Alkadiriy (wakwanza kulia) kuwatembelea Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano kutoka Zanzibar waliolazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) baada ya kupata ajali ya gari maeneo ya Bwawani, Mkoani Morogoro, Wabunge waliobaki hospiyali ya wakiendelea na matibabu ni Haji AmriHaji (52)  na Juma Othaman Hija (61) baaya wabunge wanne mupatiwa tiba na kuruhusiwa, kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Tiba (MOI), Dkt, Nicephorus Rutabasibwa. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª