.

the Nkoromo Blog:- MAGAZETI YA NDANI NA NJE YA TANZANIA, LEO IJUMAA, MEI 4, 2018

May 4, 2018

Mdau wewe ni wa muhimu sana, asante kwa kuperuzi magazeti ya ndani na nje ya Tanzania, leo Ijumaa Mei 4, 2018, Tunapenda kukujulisha kuwa huduma zetu za kukuhabarisha ikiwemo magazeti kama haya ya leo zitasimama kwa muda kuanzia kesho (Mei 5, 2018) kwa sababu ya kushughulikia usajili wa Blogu hii pendwa ya theNkoromo Blog. jambo hili ni kutokana na agizo la Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kutaka hadi kufikia kesho Mei 5, 2018 Bloggs zote nchini ziwe zimesajiliwa kwa mujibu sheria. Asante sana Mdau. Kwa Maoni au Ushauri wasiliana na Msimamizi Mkuu wa CCM Blog:- Bashir Nkoromo, email: nkoromo@gmail.com Simu: 0712 498008, 0789 498008

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช