RAIS Jakaya Kikwete akimkaribisha Balozi mpya wa Russia hapa nchini, Alexander Dannikh, balozi huyo alipowasilisha hati za utambulisho, Ikulu mjini Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi mpya wa Italia hapa nchini, Perluigi Velardi, Ikulu mjini Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete akimwapisha Jaji Salome Kaganda, kuwa Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Serikali, Ikulu mjini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269