Breaking News

Your Ad Spot

Dec 14, 2010

FAINALI BONGO STAR SEARCH IJUMAA HII YA DESEMBA 17, 2010: KILIMANJARO WAKABIDHI RSMI KITITA CHA MSHINDI WA KWANZA

Washiriki walioingia katika fainali ya Shindano la Bongo Star Search itakayofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, Ijumaa wiki hii, wakiwa mbele ya bango la hundi ya sh. milioni 30, ambazo mashindi wa kwanza atapata. Tukio hili limefanyika leo katika hoteli ya City Paradise, Dar es Salaam, baada ya Wadhamini wa shindano hilo BTL, kukabidhi mfano wa hundi hiyo kwa waandaaji. Wapili kushoto ni Madam Rita na watatu kulia ni Meneja wa bia ya Kilimanjaro mali ya  TBL, George Kavishe. Walioingia fainali ni, Kushoto ni Joseph Payne,  Mariam Mohamed , Bella Kombo, Wazoiri Salum na James Matin.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages