PIX-3.
(Picha zote na Solomon Mwansele).
Watu wakitazama ndege ya CESSNA, 5H-PCN- U206 F, baada ya kuanguka leo katika shamba la Taasisi ya Kilimo Uyole, mjini Mbeya. Katika ndege hiyo Iliyokuwa inamsafirisha mgonjwa kutoka Mbeya kwenda hospitali ya Taifa Muhimbili, kwa matibabu zaidi, daktari wa hospitali ya Rufani Mbeya, Jones Chitemo, aliyekuwemo amevunjika mkono .
Ndege hiyo kwa mbele
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269