Breaking News

Your Ad Spot

Feb 14, 2011

BONANZA LA WAFANYAKAZI VYOMBO VYA HABARI KUFANYIKA MWEZI UJAO

Mwenyekiti wa Chama Cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto, akieleza yalipofikia maandalizi ya Bonanza hilo, leo, kwenye Ofisi za Kampuni ya Bia Tanzaania (TBL), Ilala, mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu Mweneyekiti wa TASWA, Maulidi Kitenge na Kulia ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, Amir Mhando na wapili kulia ni Meneja  Uhusiano na Mawasiliano ya Umma wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha Mushi, ambaye alithibitisha TBL kudhamini bonanza hilo.

1 comment:

  1. This is a fantastic view of the situation, I don’t think I’ve quite seen it from that perspective before.

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages