Mshambuliaji wa Simba, Rashid Gumbo, akiumiliki mpira dhidi ya mchezaji wa Elan Mitsuodje ya Comoro, Ali Ahmed Ali, timu hizo zilipomenyana kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. ambapo Simba ilifdabikiwa kuilza Comoro mabao 4-2.
Kufuuatia matokeo hayo Simba imefuzu kucheza raundi ya pili ya michuano hiyo, Ambapo itapambana na TP Mazembe, ya Jamhri ya Kidemokrasi ya Congo, mwezi Machi mwaka huu mjini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269