Breaking News

Your Ad Spot

Feb 11, 2011

TAASISI 11 ZA BENKI IKIWEMO CRDB KUSOMESHA WAFANYAKAZI KWA NJIA YA MTANDAO CHUO KIKUU CHA MILPAK KUPITIA UDSM

CHUOP Cha Biashara cha Milpak cha Afrika Kusini kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,

kimeingia kitatoa masomo kwa njia ya mtandao kwa wafanyakazi wa Taasisi 11 za Benki hapa nchini ikiwemo RDB. Pichani, Mkurugenzi Mkuu wa Milpaki, Julian Van-Der-Westhusein, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya  CRDB, Dk. Charles Kimei na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mkandala, wakitia saini mkataba wa uendeshwa wa masomo hayo,leo. hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Movenpick, Dar es Salaam.
MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akisalimiana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Pfofesa Rwekaza Mukandala, hicho na Chuo cha Biashara cha Milpak cha Afrika Kusini, leo katika Hoteli ya Movenpic mjini Dar es Salaam. Wengine ni Dk. Riwa Colman wa Tanzania Institute Of Bankers na Mkurugenzi wa Teknolojia ya mawasiliano wa CRDB, Elyas Mtengwa.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages